Huduma Zetu

Tunatoa huduma za Photo & Video Shooting, Graphics designing na Kutengeneza Website. Pia Tunatengeneza Application za simu.

Professional Design

Tunatengeneza graphics, websites na mobile apps kwaajili ya biashara pamoja na matumizi binafsi.

App Development

Tunatengeneza Apps ikiwa ni pamoja na kuweka matangazo.

Ushauri

Ushauri unatolewa bure kwa yeyote mwenye malengo ya mafanikio kupitia ICT.

About us

Sparrow designers tunajihusisha na utengenezaji wa Graphics website, blogs na mobile softwares. Wataalamu wetu ni mahiri katika kutengeneza websites na blogs kwaajili nya biashara, kampuni, taasisi, au matangazo aina zote.

Huduma zetu kwa sasa zinapatikana Kijenge, Arusha) ikiwa upo Arusha au popote tanzania unaweza kuwasiliana nasi na huduma utapatiwa kwa uaminifu.

Contact Us

Wasiliana nasi kwa kutumia barua pepe au namba za simu. Kwa mawasiliano bora na ya haraka tumia namba za simu.

  • Location:
    Corrido Street, Arusha Tanzania
  • Phone: +255 6666665555& +255 55555554444
  • Email:info@ttttttttt.b.tz